Community Update

Digital Empowerment Toolkit Now Available!

At World Pulse, we recognize the need for ongoing learning—for you and for your community! Our toolkits aim to provide the resources you need to advance your social change work.

We are excited to introduce our Digital Empowerment Trainers’ Toolkit, a dynamic resource to help you bring the benefits of connecting online to women in your community. Check it out today! »

FAIDA YA INTERNET KWA MWANAMUKE

Kwakweli nili pendezwa na mimi kujua internet sikujuwa inamaana gani lakini nilipo tambuwa hiyo fahida nilifurahi sana kwaku zungumuza na wengine wanawake dunia nzima kwakweli mwanamuke ambaye hajuwi internet yuko mbali na maendeleo ombi langu ni hili wanawake wa mujini piya wa vijijini wajitoleye kwakujua internet.

This story was written for World Pulse’s Women Weave the Web Digital Action Campaign. Learn more »

Comments

E'KA's picture

Asante sana mama!

Mama, na shukuru sana kwa iyi onyi lako. Nikweli wa mama wa enewo zote, ni lazma wa elewe internete.
Kwa mapendo yote,
E'ka

MUNYERARHALIMBA NOELA's picture

Jambo.

Minashukuru sana kwa wa ndugu wote walioniunga mkono kwa maonyi hyi ya mwanamuke na maendeleo na technologia mutanisamehe kuona siku mingi siandike nisababu nilikuwa mgonjwa.Kwa kweli hiyi internet tangu nilianza kujifunza ayo kuko changement mingi mu miye hata na mu jamaa yangu ju saa niko naongeya na jamaa yangu na rafiki wenye nilikuwa siku mingi sione wala kuwasikiya tulisha anza koungeya nabo sana na mina sikiya kufurahisana.Ata na magumu yangu yenye niko nayo sitafichika mangumu yangu kwa roho mapendo munisaidiye miye ni mama mulamavu lakini napenda kufanya kazi sana niko niko na encandre benzangu ba mama balemavu ju ya kupiganisha umaskini na kulombalomba barabarani kwa leo niko nombre ya 25femmes materiel iko kidogo sana tuko tu na 7mashine tussus iko kidogo sana.tungali na magumu ya mingi lakini tunapenda kazi yetu sana tunaliya mutusaidiye.aksanti.

noela

MUNYERARHALIMBA NOELA's picture

asanteni

asanteni kwako niyamuhimu tuzidi kuonya wenzetu wa mama wa duniya nzima

noela

MUNYERARHALIMBA NOELA's picture

asanteni

asanteni kwako niyamuhimu tuzidi kuonya wenzetu wa mama wa duniya nzima

noela

Nakushukuru kwa maoni mazuri na shauri pia ambayo unawapa wamama wengine, kuhusu faida ya internet, na unaongeza kusema kama internet ni moja wapo ya njia za maendeleo; ni kweli
Kwa hiyo ushauri wangu ni kwamba: wewe piya uko mmoja wa kuendelesha hiyo njia ya maendeleo, maendeleo si kwa wale tu bali ni kwetu sote
Sasa mama yangu Noella, ninalo ulizo kwako kuhusu ginsi ulitoa ushauri kama unawaalika hata wale wa mama wa vijijini nao wajifunze inernet:kufwatana na ginsi unajua vijijini hakuna ordinateur, hakuna moto wa umeme, uniambie wewe binafsi utafanya mchango gani ili nao wajue internet?
Wakisema wakuye hapa mjini wajifunze ni nani atagaramia transport , logement na restauration yao? kufuatana na ginsi unajua umaskini unakumba watu vijijini? Nangoya jibu za wengine,
Aksanti nangoja jibu yako

bajira

masoka's picture

asanteni

ni kuhimiza sana mama usife moyo mbegu hiyo hayitupiliwi kwenye mawe tu bali kuna nyingi ambazo zita ota nakutowa matunda matamu ni kweli ni lazima wa mama wote duniyani wa elewe hiyo faida ya tekinologiya mpya

MASOKA

MUNYERARHALIMBA NOELA's picture

SHUKRANANI

Jambo baba yangu nakushukuru sana vraimant kuona haukuzarau .
Sasa mchango wangu niile soucie,tena tenakubafundisha mimwenyewe ya pili mchango yangu ingine minabatiliya groupe électrogene kama bina ku interese inawaza kuwa vizuri sana baba yangu.N.B.Kusudi tuongeye ya zaidi ukuwe unaniandikiya kwa hiyi adresse:munyerarhralimbanoela@gmail.com
unisaidiye uniambiye unapatikana wapi miye niko bukavu.

noela

MUNYERARHALIMBA NOELA's picture

shukrani

Aksanti dada yangu kwa kusoma journal yangu na kuyi suite dada unapatikana wapi miye niko bukavu.aksanti.

noela

Ridingthecamel's picture

Dear Munyerharhalimba, Thank

Dear Munyerharhalimba,

Thank you for sharing this with us. Googletranslate may not be working properly here,
but from what i understood you were talking about how internet brings us, as an international community of women
together. I am happy you are now part of our community at WorldPulse as well and hope
that together, we can bring the internet as a helpful tool to more and more women all over the world (perhaps especially in rural areas?)

All the best,

CamelRider

Ndugu Munyerharhalimba,

Asante kwa kushirikiana hii na sisi. Googletranslate inaweza kuwa kazi vizuri hapa,
lakini kutokana na kile i kueleweka walikuwa wanazungumza juu jinsi ya internet huleta yetu, kama jumuiya ya kimataifa ya wanawake
pamoja. Nina furaha wewe ni sasa ni sehemu ya jamii yetu katika WorldPulse pamoja na matumaini
kuwa pamoja, tunaweza kuleta internet kama chombo muhimu kwa wanawake zaidi na zaidi duniani kote (labda hasa katika maeneo ya vijijini?)

Wote bora,

CamelRider

SanPatagonia's picture

Thank you!

Though Google Translator has failed a lot I share three of your positions about women and the Internet –
1. the wonderfulness of World Pulse in getting us together – so true!
2. your mention about women in rural communities and their rare chances of getting access to Internet connection – a topic mentioned by Binwa in this post http://worldpulse.com/node/85410
3. what you say about women, Internet and development - I’ve read Kasongo’s post, from Congo, and Busayo’s one from Nigeria showing similar positions on that matter. You can find them here: Kasongo (Congo) http://worldpulse.com/node/83642
Busayo (Nigeria) http://worldpulse.com/node/84335

Tu dis: “La femme qui ne sait pas Internet est loin d’être développé”. C’est vrai, ma soeur !

Keep up the good work !

@SanPatagonia
Be a voice, tell a story, start the fire. | Sé una voz, cuenta una historia, enciende el fuego.

CamilaFMScialla's picture

Welcome

I completely agree with you. The internet is a great way to bring people together. I'm so glad you're here and sharing your story!

Camila

aimeeknight's picture

Hi Noela, I wasn't able to

Hi Noela,
I wasn't able to get a good translation of your piece. I am happy that you have joined World Pulse and would like to welcome you as well.

"One shoe can change a life" ~ Cinderella

Rachel J's picture

Every story counts

Dear Munyerarhalimba,

Thank you for sharing as part of the Women Weave the Web campaign. I'm glad that you are part of the World Pulse community! It's clear that you are thrilled to be connecting with women all over the world, so I hope that your story reaches many people.

Wishing you the very best,

Rachel

MUNYERARHALIMBA NOELA's picture

jambo

Jambo tena wanawake wenzetu wa dunia nzima nashukururu sana kuona mumeniunga mkono ju ya mwanamuke na téchnologiya inanitiya moyo sana zaidi na kwa hawa wote wanajitoleya ku traduire mu langue yenye batasikiya kwangu miye nifaida kuona minanzaka sumuliya na wandugu wambali na wa karibu na iniheshimilisha sana jamaa yangu zaidi kwa bwana yangu na kuchanga pamoja na gisi niko handicapée ilikuwa ngufu lakini kupitiya hiyi téchnologiya kweli mambo yote imedilika minashukuru sana mama sujaa. Hqpa niko na magumu ya kusomesha batoto kazi yenye natumika inakosa msahada njo maana minashindwa ,nikonasomesha batoto sita,niko mu nyumba ya kupanga,mume wangu hana kazi na somesha kwa shida ivi siyajua nifanye nini kusudi bafanye examens ya fin d'année na miye nione faida ya kufikisha sauti duniya yote.Aksanti kwa mama wenzangu.

noela

Magazine »

Read global coverage through women's eyes

Inside Congo's Growing Sisterhood

Inside Congo's Growing Sisterhood

Community »

Connect with women on the ground worldwide

Face to Face with the U.S. Special Envoy to DRC

Face to Face with the U.S. Special Envoy to DRC

Campaigns »

Be heard at influential forums

WWW: Women Weave the Web

WWW: Women Weave the Web

Programs »

Help us train women citizen journalists

World Pulse Voices of Our Future

World Pulse Voices of Our Future

Blog »

Read the latest from World Pulse headquarters

Highlights of the 2014 World Pulse LIVE Tour

Highlights of the 2014 World Pulse LIVE Tour

Partners »

Join forces with our wide network of partners

Nobel Women's Initiative

Nobel Women's Initiative